sw_tn/job/05/06.md

8 lines
309 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa kuwa magumu hayatoki udongoni; wala taabu haichipuki katika nchi
Hapa magumu na taabu yanazungumziwa kana kwamba ni mimea.
# wanadamu huzaliwa kwaajili ya taabu, kama cheche za moto zirukavyo juu.
Ni kama asili ya watu, mara tu wazaliwapo, kuwa na taabu kama ilivyo kwa cheche za moto zirukavyo juu.