# Kwa kuwa magumu hayatoki udongoni; wala taabu haichipuki katika nchi Hapa magumu na taabu yanazungumziwa kana kwamba ni mimea. # wanadamu huzaliwa kwaajili ya taabu, kama cheche za moto zirukavyo juu. Ni kama asili ya watu, mara tu wazaliwapo, kuwa na taabu kama ilivyo kwa cheche za moto zirukavyo juu.