sw_tn/job/03/17.md

24 lines
791 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Ayubu anabadilisha mazungumzo yake kutoka kufa mpaka uzima baada ya kifo.
# Huko waovu huacha kusumbua; huko waliochoka hupumzika.
Ayubu anatumia usambamba kusisitiza kuwa wanyonge watapata pumziko kutoka kwa wale walio wasababishia magumu.
# Huko waovu huacha kusumbua
Ayubu anaongea kuhusu sehemu ambayo watu huenda baada ya wao kuacha kuishi. "Katika sehemu hiyo, watu waovu huacha kusumbua"
# sauti ya msimamizi wa watumwa
Hapa "sauti" ni mfano wa nguvu ambayo msimamizi wa watumwa anakuwa nayo juu ya watumwa. "Hawako tena chini ya udhibiti wa watumwa"
# wadogo na watu maarufu
Hii ni tamathali ya usemi ambayo humaanisha "watu wote, watu masikini na watu matajiri."
# mtumishi yuko huru kwa bwana wake huko.
Mtumishi hana wajibu wa kumtumikia bwana wake.