sw_tn/job/03/15.md

32 lines
844 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Ayubu anaendelea na fikira zake kuhusu kufa kabla ya kuzaliwa.
# Au Ningelikuwa nimelala pamoja ... wasio uona mwanga kabisa.
Hii inaelezea kitu ambacho kingetokea lakini hakikuweza kutokea.
# Au Ningelikuwa nimelala pamoja na wakuu
"Ningelikuwa nimepumzika na wakuu." Katika kifungu hiki, neno "lala" na "kupumzika" ni njia ya heshima kusema "haishi tena."
# wenye dhahabu, waliozijaza nyumba zao fedha
Ayubu anatumia ulinganishaji kusisitiza kile anachosema.
# Au pengine ningekuwa sijazaliwa, kama watoto wachanga wasio uona mwanga kabisa.
Ayubu anatumia ulinganishaji kusisitiza anachosema.
# ningekuwa sijazaliwa
"Ningelikuwa nimekufa tumboni mwa mama yangu"
# kama watoto wachanga wasio uona mwanga kabisa
"kama watoto wachanga ambao hawangelizaliwa"
# watoto wachanga
"watoto" au "watoto wadogo sana"