sw_tn/job/03/13.md

20 lines
677 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa sasa ningelikuwa nimelala chini kimyakimya. Ningelala usingizi na kupata pumziko
Ayubu anatumia sentensi mbili kufikiri kuhusu ingelikuwaje kama yeye asingelizaliwa au angelikufa wakati wa kuzaliwa.
# ningelikuwa nimelala chini kimya kimya
Ayubu anafikiria kitu ambacho kingeliweza kutokea katika siku za nyuma lakini hakikutokea, kama ilivyoelezwa hapo juu. "Ningelikuwa nimelala chini kimyakimya"
# nimelala chini kimya
"lala, kupumzika kwa amani"
# na kupata pumziko
Neno "pumziko" hapa linamaanisha kulala kwa amani, lakini pia huyo Ayubu asingelikuwa anapitia maumivu ambayo anayapata
# pamoja na wafalme na washauri wa dunia,
"na wafalme na washauri wao"