# Kwa sasa ningelikuwa nimelala chini kimyakimya. Ningelala usingizi na kupata pumziko Ayubu anatumia sentensi mbili kufikiri kuhusu ingelikuwaje kama yeye asingelizaliwa au angelikufa wakati wa kuzaliwa. # ningelikuwa nimelala chini kimya kimya Ayubu anafikiria kitu ambacho kingeliweza kutokea katika siku za nyuma lakini hakikutokea, kama ilivyoelezwa hapo juu. "Ningelikuwa nimelala chini kimyakimya" # nimelala chini kimya "lala, kupumzika kwa amani" # na kupata pumziko Neno "pumziko" hapa linamaanisha kulala kwa amani, lakini pia huyo Ayubu asingelikuwa anapitia maumivu ambayo anayapata # pamoja na wafalme na washauri wa dunia, "na wafalme na washauri wao"