sw_tn/job/02/11.md

12 lines
481 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Elifazi Mtemani, Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi
Elifazi, Bildadi, na Sofari ni majina ya wanaume. Temani ulikuwa mji katika Edomu. Washuhi ni uzao wa Ibrahimu na Ketura (tazama Mwanzo 25: 1). Naamathi ulikuwa mji katika Kanaani.
# Wakatenga muda
"walikubaliana juu ya wakati"
# kuomboleza naye na kumfariji.
Hapa neno "omboleza" na "fariji" yana maana sawa. Rafikize wanajaribu kumfariji Ayubu na kuomboleza naye. "kuhuzunika na Ayubu ili kusaidia kupoza mateso yake."