sw_tn/job/02/09.md

36 lines
942 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je hata sasa wewe unashikamana na utimilifu wako?
Hili swali la kejeli kwa kweli linatengeneza taarifa. Tafasiri kama katika 1: 6. "Angalia mtumishi wangu Ayubu."
# Umkufuru Mungu
"Kumkataa Mungu"
# unaongea kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu
Ayubu akasema unaongea kama mwanamke mpumbavu. "Unaongea kana kwamba wewe ni mwanamke mpumbavu."
# Je sisi tupate mema toka kwa Mungu na tusipate mabaya?
Swali hili la kejeli kwa kweli linawasilisha taarifa. "Bila shaka lazima tungelipata mabaya kutoka kwa Mungu pamoja na mazuri."
# tupate mema
"kunufaika na mambo yote mazuri"
# mema
Hili linawakilisha mambo yote mazuri ambayo Mungu hutupa.
# tupate mabaya
"teseka na mateso yote mabaya bila kulalamika"
# mabaya
Hili linawakilisha mambo yote mabaya ambayo Mungu hufanya au huruhusu ili sisi tupate maarifa.
# tenda dhambi kwa midomo yake.
Hapa "midomo" inawakilisha tendo la kuongea. "dhambi kusema kwa kushindana na Mungu"