sw_tn/jhn/17/09.md

20 lines
674 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mimi siuombei ulimwengu
Hapa neno ulimwengu linamanisha watu waovu duniani au watu wasiomtii Mungu
# Duniani
Hii inamaanisha hali ya kuwa duniani na kuwa mmoja wa wale wanaoishi humo.
# Baba Mtakatifu, uwalinde... ii wawe na umoja kama sisi tulivyo na umoja
Yesu anamwomba Baba ili awalinde wale wanaoamini. Mungu Baba huwalinda wale wanaomwamini Mungu Mwana na kuwafanya wawe na umoja na Mungu katika utatu wake
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu
# Uwalinde kwa jina lako ulilonipa mimi
Hapa neno "jina"linamaanisha ulinzi na usimamaizi wa Mungu. "Uwalinde na kwa ulinzi wa jina lako kama ulivyonilinda mimi" au "uwalinde kwa nguvu za jina lako ulilonipa mimi