forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
395 B
Markdown
12 lines
395 B
Markdown
|
# Kama mkiomba lolote kwa Baba, atawapa kwa jina langu
|
||
|
|
||
|
Baba na Mwana wanajibu maombi pamoja. Wanaomwamini Yesu wana msamaha wa milele wa dhambi na wanaweza kuomba kwa Baba kupitia kwa Mwana, na Baba atajibu.
|
||
|
|
||
|
# Baba
|
||
|
|
||
|
Hiki ni cheo cha Muhimu cha Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Kwa jina langu
|
||
|
|
||
|
Baba atawapatia mahitaji yao kwa sababu ya mahusiano yao na Yesu. "kwa sababu ni wafuasi wangu" au "kwenye mamlaka yangu"
|