sw_tn/jhn/16/15.md

12 lines
255 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Vitu vyote...alivyonavyo Baba ni vyangu...Roho atachukua mambo yangu
Mungu Baba, Mwana, na Roho wote wanamiliki ulimwengu. Kwa pamoja ni wamoja na ni Mungu pekee.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu.
# Muda mfupi
"karibu" au "kabla ya muda mrefu"