# Vitu vyote...alivyonavyo Baba ni vyangu...Roho atachukua mambo yangu Mungu Baba, Mwana, na Roho wote wanamiliki ulimwengu. Kwa pamoja ni wamoja na ni Mungu pekee. # Baba Hiki ni cheo muhimu cha Mungu. # Muda mfupi "karibu" au "kabla ya muda mrefu"