sw_tn/jhn/15/18.md

8 lines
186 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kama ulimwengu utawachukia....
Yesu anatumia neno Ulimwengu kumaanisha watu ambao hawamwamini Mungu
# upendo
Hii inarejea upendo wa kibinadamu, wa undungu, rafiki au mtu wa familia