# kama ulimwengu utawachukia.... Yesu anatumia neno Ulimwengu kumaanisha watu ambao hawamwamini Mungu # upendo Hii inarejea upendo wa kibinadamu, wa undungu, rafiki au mtu wa familia