sw_tn/jhn/12/37.md

12 lines
264 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yohana anaanza kuongelea juu ya kutimizwa kwa unabii ambao nabii Isaya alitabiri.
# ili kwamba neno la nabii Isaya litimizwe
kwa ajili ya kutimiza ujumbe wa nabii Isaya
# mkono wa Bwana
Hii inamaanisha, uwezo wa Bwana wa kuokoa kwa nguvu.