sw_tn/jhn/12/27.md

20 lines
390 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Niseme nini? Baba, niokoe mimi na saa hii?
Hii ni lugha ya balagha. Japokuwa Yesu anatamani kuepuka mateso, bado anachagua kumtii Mungu na kuuawa.
# Baba
Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu
# saa hii
Hii inamaanisha wakati Yesu atateswa na kufa msalabani.
# ulitukuze jina lako
ufunue utukufu wako (Mungu) ili ujulikane
# sauti ikaja kutoka mbinguni
Mungu aliongea kutoka mbinguni