sw_tn/jhn/11/01.md

8 lines
254 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Hii ni habari inayomhusu Lazaro. Mistari hii inamtambulisha yeye na kutoa historia fupi juu yake na dada yake Mariamu.
# Ni Mariamu ndiye aliyempaka Bwana mafuta...nywele zake
Yohana pia anamtambulisha Mariamu, dada yake na Matha.