# Maelezo ya jumla: Hii ni habari inayomhusu Lazaro. Mistari hii inamtambulisha yeye na kutoa historia fupi juu yake na dada yake Mariamu. # Ni Mariamu ndiye aliyempaka Bwana mafuta...nywele zake Yohana pia anamtambulisha Mariamu, dada yake na Matha.