forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
567 B
Markdown
16 lines
567 B
Markdown
|
# Yesu aliwajibu, "Nimeshawaonyesha kazi nyingi nzuri kutoka kwa Baba
|
||
|
|
||
|
Kazi za Yesu zilifanyika katika uwezo wake kama Mwana wa Mungu, katika umoja na Mungu Baba. Kazi za Yesu ni kazi za Baba vile vile (na Roho Mtakatifu).
|
||
|
|
||
|
# Baba
|
||
|
|
||
|
Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu
|
||
|
|
||
|
# Unajifanya kuwa Mungu
|
||
|
|
||
|
"Alidai kuwa yeye ni Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Tuna...kuponda mawe kwa...kukufuru, kwa sababu wewe, uliye mtu, unajifanya kuwa Mungu
|
||
|
|
||
|
Yesu alidai kuwa yeye ni Mwana wa Mungu ilikuwa ni kufuru kwa Wayahudi kwa sababu walidhani kuwa Yesu alikuwa akidai kuwa yeye ni Mungu - na ndivyo alivyokuwa.
|