sw_tn/jhn/09/24.md

16 lines
219 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Walimwita mtu
Hapa, "Walimwita" walimaanisha Wayahudi.
# Mtu huyu
Hili linarejea kwa Yesu
# Mtu yule
Hili linarejea kwa mtu aliyekuwa kipofu
# Awe ni mwenye dhambi, mimi sijui
Sijui kama ni mwenye dhambi au la