# Walimwita mtu Hapa, "Walimwita" walimaanisha Wayahudi. # Mtu huyu Hili linarejea kwa Yesu # Mtu yule Hili linarejea kwa mtu aliyekuwa kipofu # Awe ni mwenye dhambi, mimi sijui Sijui kama ni mwenye dhambi au la