sw_tn/jhn/08/21.md

12 lines
341 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kufa katika dhambi zenu
"Kufa wakati ukiwa mwenye dhambi." au "utakufa wakati ukiendelea kutenda dhambi." Hapa neno "Kufa" linaelezea kifo cha kiroho.
# Hauwezi kuja
"Hauna uwezo wa kuja"
# Je atajiua mwenyewe, yeye aliyesema
Hii yaweza kutafsiriwa kama maswali mawili yaliyotenganishwa. Atajiua mwenyewe? Hivyo ndiyo sababu anasema"