# Kufa katika dhambi zenu "Kufa wakati ukiwa mwenye dhambi." au "utakufa wakati ukiendelea kutenda dhambi." Hapa neno "Kufa" linaelezea kifo cha kiroho. # Hauwezi kuja "Hauna uwezo wa kuja" # Je atajiua mwenyewe, yeye aliyesema Hii yaweza kutafsiriwa kama maswali mawili yaliyotenganishwa. Atajiua mwenyewe? Hivyo ndiyo sababu anasema"