sw_tn/jhn/08/14.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ingawa najishuhudia mwenyewe
Hata ingawa nasema mambo haya juu yangu binafsi
# Mwili
Kanuni za kibinadamu na sheria za watu
# Simhukumu yeyote
Maana zuinazowezekana zaweza kuwa 1) Sijamhukumu yeyote bado au 2) Simhukumu yeyote sasa
# ikiwa nitahukumu
Ikiwa nitahukumu watu. Maana inawezekana 1) Ninapowahukumu watu ( kwa wakati ujao) au 2) wakati wowote ninapowahukumu watu (sasa) au 3) ikiwa nitahukumu watu.
# Hukumu yangu ni kweli
Maana inayowezekana 1) "Hukumu yangu itakuwa sahihi" au 2) Hukumu yangu ni sahihi
# Siko peke yangu, lakini niko pamoja na Baba aliyenituma
Yesu, Mwana wa Mungu, anayo mamlaka kwa sababu ya uhusianomwake maalumu na Baba yake, aliyemtuma. Neno "Baba" na "Mwana" linaonyesha uhusiano wa watu wa Mungu kati yao.
# Siko peke yangu
Siko peke yangu katika hukumu. "Siko peke yangu jinsi ninavyohukumu" au "sihukumu peke yangu."
# Niko pamoja na Baba
"Baba pia anahukumu pamoja na mimi" au "Baba anahukumu kama nihukumuvyo mimi."
# Baba
Hiki ni cheo maalumu kwa Mungu
# Baba aliyenituma
Neno "aliyenituma" inazungumza jambo zaidi kuhusu Baba. "Baba, yeye pekee aliyenituma."