sw_tn/jhn/06/64.md

12 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amepewa na Baba
Mwana wa Mungu, amepewa na Baba. Mungu Baba na Mungu Mwana kwa pamoja ni njia katika wokovu msamaha wa milele. Yeyote atakaye kuamini ni lazima aje kwa Mungu kwa kupitia Baba na Mwana.
# njoo kwangu
"nifuate mimi"
# Baba
hiki ni cheo muhimu kwa Mungu