sw_tn/jhn/06/57.md

20 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Baba mwenye uzima
Hii inaweza 1) "Baba atoaye uzima" au "Baba aishie," kama watu au wanyama wanavyoishi, kinyume cha "kifo"
# Baba
hiki ni cheo muhimu kwa Mungu.
# Baba mwenye uzima alinituma...kwa sababu ya Baba...yeye anilaye...ata...ishi kwa sababu ya
Yesu alitumwa na Baba, na anaishi kama mwanadamu kwa sababu ya Mungu Baba. Kama Mungu Mwana alivyotumwa na Mungu Baba, Yesu ni chanzo cha uzima wa milele.
# mababa
"mababa wa zamani"
# Yesu aliyasema mambo haya ndani ya Sinagogi... huku Kaperanaumu
hii ni babari ya nyuma kuhusu wakati tukio hili lilipotukia.