sw_tn/jhn/06/54.md

8 lines
232 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kiunganishi cha Sentesi:
Yesu anaendelea kuongea kwa wote wanao msikiliza.
# chakula cha kweli... kinywaji cha kweli
Kumpokea Yesu kwa imani kunaleta uzima wa milele kama vile ambavyo chakula na kinywaji vinavyoawilisha mwili.