# Kiunganishi cha Sentesi: Yesu anaendelea kuongea kwa wote wanao msikiliza. # chakula cha kweli... kinywaji cha kweli Kumpokea Yesu kwa imani kunaleta uzima wa milele kama vile ambavyo chakula na kinywaji vinavyoawilisha mwili.