sw_tn/jhn/06/38.md

20 lines
620 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kiunganishi cha Maneno:
Yesu anaendelea kuongea na mkutano
# yeye aliyenituma
"Baba yangu, aliyenituma mimi"
# nisimpoteze hata mmoja
"Niwatunze wote"
# mapenzi ya Baba yangu...kila amtazamaye
Yesu anafafanua kwamba Mpango wa Baba unatoauzima wa milele kwa walew wanaoamini " Mwana,"Mwana wa Mungu, Yesu Kristo atakaye fufua na kutukuza miili ya wote wanao amini.
# Mwana na kuamini katika yeye awe na uzima wa milele
Yesu anafafanua kwamba mpango wa Mung unaleta uzima wa milele kwa wale wote wanao mwanini "Mwana," Mwana wa Mungu, Yesu Kristo, ambaye atakaye wafufua na kutukuza miili ya wale wanaoamini.