sw_tn/jhn/06/10.md

24 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kaa chini
au "kaa chini" tegemea na desturi yako
# (Basi kulikuwa na nyasi nyingi katika sehemu ile.)
Hii ilikuwa ni sehemu nzuri kabisa kwa ajili ya watu kukaa.
# watu... wanaume... watu
Mkutano
# elfu tano kwa idadi
wakati mkutano pengine ulijumuisha wanawake na watoto.
# akashukuru
Yesu aliomba kwa Mungu Baba na kumshukuru kwa ajili ya mkate na samaki.
# aliwagawia
Yesu aliivunja mikate na samaki akawapitishia wanafunzi wake. Kisha wanafunzi wakawapitishia watu mikate na samaki.