# kaa chini au "kaa chini" tegemea na desturi yako # (Basi kulikuwa na nyasi nyingi katika sehemu ile.) Hii ilikuwa ni sehemu nzuri kabisa kwa ajili ya watu kukaa. # watu... wanaume... watu Mkutano # elfu tano kwa idadi wakati mkutano pengine ulijumuisha wanawake na watoto. # akashukuru Yesu aliomba kwa Mungu Baba na kumshukuru kwa ajili ya mkate na samaki. # aliwagawia Yesu aliivunja mikate na samaki akawapitishia wanafunzi wake. Kisha wanafunzi wakawapitishia watu mikate na samaki.