sw_tn/jhn/05/33.md

12 lines
410 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ushuhuda ninao pokea sio wa mwanadamu
"Sihitaji ushuhuda wa watu"
# okolewa
Hii ina maanisha "kuokolewa" ni katika maana ya kiroho. Kama mtu amekwisha "akolewa" ina maanishakwambaMungu amekwisha msamehe na kumuokoa kutoka katika adhabu ya Jehanamu kwa ajili ya dhambi zake.
# Yohana alikuwa ni taa iliyokuwa ikiwaka na kung'ara
Yohana anonesha utakatifu wa Mungu kama vile ambavyo taa itoavyo mwanga.