sw_tn/jhn/05/19.md

24 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kiunganishi cha sentesi:
Yesu anaendelea kuongea na viongozi wa Wayahudi.
# Amini, amini
Tafsiri hii kama ulivyo tafsiri 1:49; 1:51
# mtashangazwa
"mtashangazwa" au mtasitushwa"
# chochote anachofanya Baba, Mwana anayafanya haya mambo pia. Kwa Baba anampenda Mwana
Yesu, kama Mwana wa Mungu, alifuata na kutii uongozi wa Baba yake chini ya nchi kwa sababu Yesu alijua Baba anampenda.
# Mwana...Baba
Hivi ni vyeo muhimu ambavyo zinaelezea uhusiano kati ya Yesu na Mungu.
# penda
aina hii ya upendo unatoka utokao kwa Mungu unajali mazuri ya wengine, hata kama haina faida yake. Mungu mwenyew ni upendo na chanzo cha upendo wa kweli.