sw_tn/jhn/05/01.md

32 lines
919 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maneno kwa Ujumla:
hili ni tukio linalofuata katika simulizi,ambalo Yesu anapanda kwenda Yerusalemu na anamponya mtu.Mistari hii inatoa mambo ya nyuma kuhusu mwanzoni mwa simulizi.
# Baada ya hili
ina maanisha baada Yesu kumponya mwana wa afisa. ona namna ambavo unaweza kufasiri hili.
# kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi
"Wayahudi walikuwa wakisherehekea sikukuu"
# alipanda kwenda Yerusalemu
Yerusalemu iko juu ya kilima. Mabarabara ya Yerusalemu yalipanda juu na kutelemka katika vilima vidogo . Kama lugha yako ina neno tofauti kwa kupanda juu ya kilima kuliko kuliko kutembea katika tambarare unaweza kuitumia hapa.
# dimbwi
hili lilikuwa ni shimo chini ambalo watu walijaza maji. Wakati mwingine walilizungushia kwa vigae na mawe.
# Bethzatha
"Bethzatha" maana yake ni nyumba ya huruma.
# matao
muundo ulioezekwa angalau pasipo kuwa ukuta mwingine katika jengo.
# Idadi kubwa ya watu
"watu wengi"