sw_tn/jhn/04/25.md

8 lines
262 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ninafahamu kwamba Masihi...Kristo
Haya maneno mawili yana maanisha "mfalme aaliyeahidia na Mungu."
# atatwambia kila kitu
Haya maneno "atawambia kila kitu" yanamaanisha mambo yote ambayo watu wanahitaji kujua. "atatwambia kila kitu tunachohitaji kufahamu."