# Ninafahamu kwamba Masihi...Kristo Haya maneno mawili yana maanisha "mfalme aaliyeahidia na Mungu." # atatwambia kila kitu Haya maneno "atawambia kila kitu" yanamaanisha mambo yote ambayo watu wanahitaji kujua. "atatwambia kila kitu tunachohitaji kufahamu."