sw_tn/jer/36/16.md

40 lines
662 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikatokea kwamba
Maneno haya yanaonesha umuhimu wa tukio katika simulizi.
# Wao waliposikia
Neno "wao" linamaanisha wakuu.
# Maneno haya yote
maneno yote ambayo Baruku aliyasoma kwa nguvu toka kwenye kitabu.
# Uliyaandikaje
"uliyaandika kwa namna gani"
# Aliyosomewa na Yeremia
"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"
# Kusema
Yeremia alizungumza kwa nguvu ili Baruku aandike maneno yake.
# kuyaandika na wino
"alitumia wino kuandika"
# wino
Wino mweusi unaotumika kuandikia
# Na Yeremia pia
"Yeremia pia anatakiwa ajifiche."
# Mko wapi
Maneno haya yanawaelezea Baruku na Yeremia.