sw_tn/jer/34/20.md

16 lines
306 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wanaoutafuta uhai wao.
"Wanaotafuta kuwaua."
# Hili ni tangazo la Yahwe.
Tangazo la Yahwe ambalo Yahwe ametangaza; au ni kile ambacho yahwe amessema
# Ambayo yameinuka dhidi yenu.
"Yamekuja kupigana dhidi yenu."
# Na nitawarudisha.
Hapa neno "wao" linamaana ya majeshi ya adui wa taifa la babeli.