# Wanaoutafuta uhai wao. "Wanaotafuta kuwaua." # Hili ni tangazo la Yahwe. Tangazo la Yahwe ambalo Yahwe ametangaza; au ni kile ambacho yahwe amessema # Ambayo yameinuka dhidi yenu. "Yamekuja kupigana dhidi yenu." # Na nitawarudisha. Hapa neno "wao" linamaana ya majeshi ya adui wa taifa la babeli.