sw_tn/jer/15/08.md

20 lines
450 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Bwana amewaambia kamwe hakuna mtu atakayejali juu yao na kwamba atawaangamiza watu wake kwa sababu hawatageuka njia zao mbaya.
# wajane
wanawake ambao waume zao wamekufa
# zaidi ya mchanga wa bahari
zaidi ya unavyoweza kuhesabu
# kuanguka juu yao
yaliyo wapata
# Yeye atakuwa na aibu na kufedheheka
Maneno "aibu" na "kufedheheka" inamaanisha kimsingi kitu kimoja na kusisitiza ukubwa wa aibu. AT "Atakuwa na aibu kabisa."