# Taarifa za jumla Bwana amewaambia kamwe hakuna mtu atakayejali juu yao na kwamba atawaangamiza watu wake kwa sababu hawatageuka njia zao mbaya. # wajane wanawake ambao waume zao wamekufa # zaidi ya mchanga wa bahari zaidi ya unavyoweza kuhesabu # kuanguka juu yao yaliyo wapata # Yeye atakuwa na aibu na kufedheheka Maneno "aibu" na "kufedheheka" inamaanisha kimsingi kitu kimoja na kusisitiza ukubwa wa aibu. AT "Atakuwa na aibu kabisa."