sw_tn/jer/08/06.md

40 lines
881 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaongea juu ya watu wa Yuda
# hawakuongea kilicho sahihi
"hawakusema kilicho sahihi"
# uovu wake
"kwa sababu ya uovu wake"
# Nimefanya nini
"Nimefanya jambo baya sana"
# kila mmoja wao huenda anakotaka
"watu wote wanaendelea kwa bidii kufanya uovu huohuo."
# kama farsi aendaye kasi vitani
Watu wanatamani sana kufanya maouvu kama vile farasi hukimbia kwakasi kwenda vitani kwa sababu hutamani kufika kule.
# farasi dume
huyu ni farasi dume
# Hata koikoi angani hujua wakati sahihi; na njiwa pori, na mbayuwayu, na korongo
Ndege hujua wakati sahihi wakuondoka kwenye nchi ya baridi kwenda kwenye nchi ya joto.
# koikoi, njiwa, mbayuwayu na korongo
Hawa ni ndege tofauti ambao hurukka kwenda kwenye maeneo ya joto kabla maeneo yaohayajawa na baridi
# huhama kwa wakati sahihi
"huhama kutoka nchi ya baridi kwenda kwenye nchi ya joto"