# Taarifa kwa ujumla BWANA anaongea juu ya watu wa Yuda # hawakuongea kilicho sahihi "hawakusema kilicho sahihi" # uovu wake "kwa sababu ya uovu wake" # Nimefanya nini "Nimefanya jambo baya sana" # kila mmoja wao huenda anakotaka "watu wote wanaendelea kwa bidii kufanya uovu huohuo." # kama farsi aendaye kasi vitani Watu wanatamani sana kufanya maouvu kama vile farasi hukimbia kwakasi kwenda vitani kwa sababu hutamani kufika kule. # farasi dume huyu ni farasi dume # Hata koikoi angani hujua wakati sahihi; na njiwa pori, na mbayuwayu, na korongo Ndege hujua wakati sahihi wakuondoka kwenye nchi ya baridi kwenda kwenye nchi ya joto. # koikoi, njiwa, mbayuwayu na korongo Hawa ni ndege tofauti ambao hurukka kwenda kwenye maeneo ya joto kabla maeneo yaohayajawa na baridi # huhama kwa wakati sahihi "huhama kutoka nchi ya baridi kwenda kwenye nchi ya joto"