sw_tn/jer/05/10.md

44 lines
852 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea
# Nenda hadi kwenye shamba lake la mizabibu
Pandeni juu ya kuta zake. "BWANA anaulinganisha mji wa Yerusalemu na na shamba la mizabibu ambao una ukuta unaozunguka.
# Panden juu
BWANA anawaambia adaui za watu wanaoishi Yerusalemu
# msiwaharibu kaisa
"msiiwaangamize kabisa"
# Ondoeni matawi kwa sababu hayatoki kwa BWANA
"Waondoeni watu wote waovu kwa sababu hawatoki kwa BWANA"
# Kwa sababu ya nyumba za Yuda na Israeli
Kwa ajili ya watu wa Israeli na Yuda
# Asema BWANA
Tazama 1:7
# wamenikataa
"wamedanganya juu yangu"
# Yeye si halsi
"Hawezi kufanya mambo haya
# Maovu ahayawezi kutupata, wala hatutaona upanga wala njaa
Virai hivi viwili vunaongelea jambao moja tu, jamabo la pili liko wazi zaidi kuliko la kwanza.
# wala hatutaona upanga wala njaa
"hatutakuwa na vita wala njaa"