# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea # Nenda hadi kwenye shamba lake la mizabibu Pandeni juu ya kuta zake. "BWANA anaulinganisha mji wa Yerusalemu na na shamba la mizabibu ambao una ukuta unaozunguka. # Panden juu BWANA anawaambia adaui za watu wanaoishi Yerusalemu # msiwaharibu kaisa "msiiwaangamize kabisa" # Ondoeni matawi kwa sababu hayatoki kwa BWANA "Waondoeni watu wote waovu kwa sababu hawatoki kwa BWANA" # Kwa sababu ya nyumba za Yuda na Israeli Kwa ajili ya watu wa Israeli na Yuda # Asema BWANA Tazama 1:7 # wamenikataa "wamedanganya juu yangu" # Yeye si halsi "Hawezi kufanya mambo haya # Maovu ahayawezi kutupata, wala hatutaona upanga wala njaa Virai hivi viwili vunaongelea jambao moja tu, jamabo la pili liko wazi zaidi kuliko la kwanza. # wala hatutaona upanga wala njaa "hatutakuwa na vita wala njaa"