sw_tn/jer/04/01.md

24 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama utarudi, Israeli
"Kama utanirudida, au kama mtabadilisha tabia zenu, enyi watu wa Israeli"
# ikiwa kwangu kwamba umerudi.
"kisha ukaanza kuniabudu"
# Asema BWANA
Tazama 1:7
# Kama utaondoa hayo mabao yachukizayo mbele yangu
"Ondoa hizo sanamu zichukizazo mbele yangu"
# na ukaacha kunikimbia mimi tena
"ukabaki mwaminifu kwangu"
# Limeni shamba zenu na msipande kwenye miiba
BWANA anawaambia watu wake kuandaa maisha yao kama mkulima aandavyo shamba kwa ajili ya kupanda