# Kama utarudi, Israeli "Kama utanirudida, au kama mtabadilisha tabia zenu, enyi watu wa Israeli" # ikiwa kwangu kwamba umerudi. "kisha ukaanza kuniabudu" # Asema BWANA Tazama 1:7 # Kama utaondoa hayo mabao yachukizayo mbele yangu "Ondoa hizo sanamu zichukizazo mbele yangu" # na ukaacha kunikimbia mimi tena "ukabaki mwaminifu kwangu" # Limeni shamba zenu na msipande kwenye miiba BWANA anawaambia watu wake kuandaa maisha yao kama mkulima aandavyo shamba kwa ajili ya kupanda