sw_tn/jdg/20/08.md

16 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kama mmoja
Hii inazungumzia kundi la watu ambalo lipo kama mtu mmoja.
# Hakuna hata mmoja wetu atakayeenda hemani kwake ... hakuna hata mmoja wetu atakayerudi nyumbani kwake
Sentensi hizi mbili zina maana moja na hapa zinaonesha msisitizo. "Tutakaa hapa wote"
# Lakini sasa
Maneno haya yanaonesha ni kitu gani watu walikuwa wanazungumza.
# kama kura inavyotuongoza
Hii inahusisha kuzungusha mawe madogo ili kujua Mungu anataka nini.