sw_tn/jdg/19/18.md

20 lines
431 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# atakayenichukua nyumbani kwake
"atakayenikaribisha nyumbani kwake"
# atakayenichukua
Hapa Mlawi alikuwa anamaanisha yeye pamoja na watumishi wake na masuria wake.
# na kuna mkate na divai
"na kuna chakula cha kutosha na vinywaji"
# yangu na mtumishi wako mwanamke hapa, na kwa kijana huyu pamoja na watumishi wako.
Mlawi anazungumza juu yake pamoja na wengine kama watumishi.
# Hatujapungukiwa chochote
"Tuna kila kitu"