# atakayenichukua nyumbani kwake "atakayenikaribisha nyumbani kwake" # atakayenichukua Hapa Mlawi alikuwa anamaanisha yeye pamoja na watumishi wake na masuria wake. # na kuna mkate na divai "na kuna chakula cha kutosha na vinywaji" # yangu na mtumishi wako mwanamke hapa, na kwa kijana huyu pamoja na watumishi wako. Mlawi anazungumza juu yake pamoja na wengine kama watumishi. # Hatujapungukiwa chochote "Tuna kila kitu"